• Mada hii inazunguzia Sunna Adabu za chakula na tofauti zao katika kupata rizki na hukumu za bismilahi katika kula. • Mada hii inazunguzia Adabu za kula na hukumu ya kudhihirisha bismilahi,na hukumu ya kuacha bismilahi. • Mada hii inazunguzia Adabu za kula chakula na hukumu ya kulamba chakula na ubora wake. • Mada hii inazunguzia Adabu za chakula,makatazo zakula chakula cha moto,na kupuliza chakula,nakukitia aibu chakula,nakula kwa mkono wa kulia.