البحث

عبارات مقترحة:

الحفي

كلمةُ (الحَفِيِّ) في اللغة هي صفةٌ من الحفاوة، وهي الاهتمامُ...

الجواد

كلمة (الجواد) في اللغة صفة مشبهة على وزن (فَعال) وهو الكريم...

المتعالي

كلمة المتعالي في اللغة اسم فاعل من الفعل (تعالى)، واسم الله...

Neema Za Nyumba Na Tabia Za Majumbani

السواحلية - Kiswahili

المؤلف Arafat Magmoud ، Yasini Twaha Hassani
القسم دروس ومحاضرات
النوع صوتي
اللغة السواحلية - Kiswahili
المفردات الفقه الإسلامي - الفضائل - الرقائق والمواعظ
1- Mada hii inazungumzia: Neema za nyumba na faidazake, nakwamba nyumba niukamilifu wa neema za Allah kwa waja wake, pia imezungumzia baadhi ya faida za nyumba kama vile makazi, stara, kulala, ibada ya swala na ibada ya ndoa. 2- Mada hii inazungumzia: Nyumba ni sehem ya kumstiri mwanamke na kumlinda na swala iliyo bora kwa mwanamke ni nyumbani, na wanawake wema ni wale wenye kutulia majumbani mwao, pia imezungumzia umuhimu wa kuwafundisha dini na adabu wake na watoto katika majumba. 3- Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwafundisha wanawake na watoto mambo ya Sunna na mavazi ya stara ili kuepuka masuuliya siku ya Qiyama, pia imezungumzia ubora wa kulazimiana na nyumba na kutenga muda kwa ajili ya kumtaja Allah ili kuepukana na fitna. 4- Mada hii inazungumzia: Nyumba ni nyenzo kubwa ya kujenga jamii ya kiislam na kutoa wanachuoni pamoja na wanawake wema, pia imezungumzia umuhimu wa mzazi kuwaombea dua ya kheri wanae.

المرفقات

4

Neema Za Nyumba Na Tabia Za Majumbani 1
Neema Za Nyumba Na Tabia Za Majumbani 2
Neema Za Nyumba Na Tabia Za Majumbani 3
Neema Za Nyumba Na Tabia Za Majumbani 4