البحث

عبارات مقترحة:

القادر

كلمة (القادر) في اللغة اسم فاعل من القدرة، أو من التقدير، واسم...

المليك

كلمة (المَليك) في اللغة صيغة مبالغة على وزن (فَعيل) بمعنى (فاعل)...

الرحمن

هذا تعريف باسم الله (الرحمن)، وفيه معناه في اللغة والاصطلاح،...

Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum

السواحلية - Kiswahili

المؤلف صالح إبراهيم ، Yasini Twaha Hassani
القسم دروس ومحاضرات
النوع صوتي
اللغة السواحلية - Kiswahili
المفردات الرقائق والمواعظ
1- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu zinazo pelekea nyoyo za watu kuwa ngumu, ni watu kuzama ktika maasi kama vile uzinifu, ulevi, kutembea uchi na kuchanganyika wanaume na wanawake, pia imezungumzia sababu za bani Israil kuwa na nyoyo ngumu na kulaaniwa. 2- Mada hii inazungumzia: Waumini wa kweli kwamba ni wale ambao wanaposikia Aya za Allah nyoyo na ngozi zao zina sisimka, pia imeelezea umuhimu wa kusikiliza maneno ya Allah na kuyazingatia

المرفقات

2

Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum 1
Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum 2