البحث

عبارات مقترحة:

الأول

(الأوَّل) كلمةٌ تدل على الترتيب، وهو اسمٌ من أسماء الله الحسنى،...

المجيد

كلمة (المجيد) في اللغة صيغة مبالغة من المجد، ومعناه لغةً: كرم...

Vipi tuitafute lailatul qadr ?

السواحلية - Kiswahili

المؤلف Abubakari Shabani Rukonkwa ، Yasini Twaha Hassani
القسم دروس ومحاضرات
النوع صوتي
اللغة السواحلية - Kiswahili
المفردات ليلة القدر
Mada hii inazunguzia Namna ya kuitafuta lailatul Qadri, amezungumzia umuhimu wa kuitafuta lailatul Qadri na ubora wake, na ubora wa Ummat Muhammad, na malipo ya atakae pata usiku huo, na malipo ya mwenye kuitafuta lailatul Qadri. Mada hii inazunguzia Namna ya kuitafuta lailatul Qadri, amezungumzia ibada ambazo anatakiwa kuzifanya muislam anaetafuta lailatul Qadri, na muda wa kuanza kuitafuta lailatul Qadri, miongoni mwa matendo hayo ni kusoma Quraan na kuhuyisha usiku.

المرفقات

2

Vipi tuitafute lailatul qadr ? 1
Vipi tuitafute lailatul qadr ? 2