البحث

عبارات مقترحة:

البارئ

(البارئ): اسمٌ من أسماء الله الحسنى، يدل على صفة (البَرْءِ)، وهو...

الرءوف

كلمةُ (الرَّؤُوف) في اللغة صيغةُ مبالغة من (الرأفةِ)، وهي أرَقُّ...

المقدم

كلمة (المقدِّم) في اللغة اسم فاعل من التقديم، وهو جعل الشيء...

Nafasi Ya Vijana Katika Uislam

السواحلية - Kiswahili

المؤلف Abuu Anasi Bwaluka ، Yunus Kanuni Ngenda
القسم دروس ومحاضرات
النوع صوتي
اللغة السواحلية - Kiswahili
المفردات النكاح - شؤون الشباب
1- Mada hii inazungumzia: Nafasi ya vijana katika uislam, na neema ya ujana, na kila kijana ataulizwa siku ya qiyama, pia amezungumzia uwajibu wa vijana kuutumia ujana wao katika kufanya ibada, kama kusimamisha Swala, Funga na Hijja, ili kupata radhi za Allah. 2- Mada hii inazungumzia: Vijana ni hazina kubwa katika uislam tangu zamani, nakwamba vijana ndio wenye uwezo wa kuvumilia mashaka na misukosuko, pia imezungumzia umuhimu wa vijana kujipamba na tabia njema.

المرفقات

2

Nafasi Ya Vijana Katika Uislam 1
Nafasi Ya Vijana Katika Uislam 2